Podchaser Logo
Home
Yesaya Software Podcast

Yesaya Software

Yesaya Software Podcast

A weekly Education and Technology podcast
Good podcast? Give it some love!
Yesaya Software Podcast

Yesaya Software

Yesaya Software Podcast

Episodes
Yesaya Software Podcast

Yesaya Software

Yesaya Software Podcast

A weekly Education and Technology podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of Yesaya Software Podcast

Mark All
Search Episodes...
In this episode, we had a fantastic discussion about all things related to Sarufi and Neurotech with Kalebu. Tune in to the conversation to learn more.
Join the conversation with Yesaya and Anderson to talk about Switching/Sticking to Programming Languages.
Kwenye episode hii nimeeleza kwa kina namna ya kuandika ujumbe wa kuomba msaada kwa mtu mwenye followers wengi. Yawezekana ni programmer au mtu mwenye uzoefu kwenye eneo fulani.
Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi.Ndugu yangu, sikuwahi kujua event ya developers kuwa na wahudh
Tunapoelekea kufungua vyuo, nimeona ni vyema kuwapa abc wanafunzi wa mwaka wa kwanza hasa katika kozi za TEHAMA.Nimeweka mambo matatu (3) muhimu ya kuzingatia, unaweza niachia maoni yako kule Twitter @yesayasoftware.Video version unaweza kuipat
Browser ni software application for retrieving, presenting and traversing information resources on the World Wide Web. Lakini pia inawezesha kucapture au kuinput taarifa ambayo inaweza kurudishwa kwa mfumo unaowasilisha, kisha kuhifadhiwa au ku
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu kugoogle au kutafuta majibu ya changamoto unapokuwa kwenye ujenzi wa mfumo. Je, unajisikia vibaya unapogoogle mambo kwenye mtandao kama programmer unanielewa nikisema Stack Overflow. Lakini je, kugoogle k
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu usalama wa taarifa za kibenki katika kufanya manunuzi online. Technolojia inabadilika kila leo, vilevile maarifa ya kulaghai watumia wa mitandao yazidi kuto tabirika.Mbinu mpya za udukuzi zinaibuka hivyo
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online sehemu ya pili. Kwenye toleo lilipita nilikueleza maandalizi niliyofanya kabla sijaagizo mzigo. Nilikueleza niliapanga kuagiza mzigo kupitia Amazon na eBay kutokana na
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online. Mid this year niliamua kufanya refresh ya tools ninatumia hapa Yesaya Software (camera, light and mixer) na nilitamani kufanya manunuzi online based on specific model
Hey, Mambo vipi,Leo nitakushikisha mambo ninayofanya nikiwa sina access ya Internet - yaani bundle limekata. Kwa kawaida nikiwa na internet na niko nyumbani kama siko na watoto basi muda mingi niko kwenye computer. Sometimes sina mood ya kazi b
Hey, Mambo vipi,Leo nitakupatia update ya kazi niliyofanya this weekend. Nimekamilisha kurekodi na kupublish video 8 kuhusu Laravel Community Website. Na kubwa tunatengeza website hii pamoja, hakikisha unachek kule GitHub kuweza kushiriki ujenz
Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App.  Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native yaani sio specific kwa Android na iOS.Nina imani
Leo kwenye Twitter Spaces na Yesaya Software tumejadili kuhusu uhusiano wa Mentor na Mentee. Tulijadili mambo mengi ikiwa na kuangalia sababu za kwa nini utahiji mentor.Increased knowledgeConstructive criticismPersonal growthWords of encouragem
Historia kidogoZaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuuHii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu   kwa miaka michacheSasa huduma zimebadilika utasikia manen mengi Software as a Service Hardware
Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia  changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka, Justin, Kalebu na Alpha.Unaweza kusikiliza sasa n
Kwenye toleo hili ni sehemu ya majadiliano kwenye Twitter Spaces na nilijadili na wadau niweke content ya aina gani kwenye mtandao ili niweze kupata traffic.Pia tulizungumza mambo ya kuzingatia kwenye kufanya option ya Voice chat (Twitter Space
Hey Mambo vipi, jina langu ni Yesaya na hii ni Yesaya Software Podcast. Leo ninazungumza na Ally Ndimbo mtalaam wa usalama kwenye mtandao, tumezungumza mengi ikiwa ni pamoja na historia ya usalama kwenye mtandao na sheria zinazotulinda hapa nyu
Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na Leo ninazungumza na Kaleb Gwalugano. Kaleb ni Software Developer na nilifanya mazungumzo nae kuhusu mchango wake kwenye Open Source community. Je, unadhani1. Kuna wajibu kutoa mchango wako kuten
Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na leo ninazungumza na Marvin Collins kutoka nchini Kenya. Marvin ni Software Developer, sasa kuna mambo machache nilipenda kujadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu Developers' Community nchini K
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Stephen Chacha, Stephen ni Android na Machine Learning Developer kutoka nchini Kenya. Nilifanya majadiliano nae kuhusu Jetpack Compose kama UI toolkit kwenye Android.Tumejadili mambo kadhaa kwa kuan
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Lambert Almasi, Lambert ni mtalaam wa kanzi data yaani database. Ninafahamu msingi wa mfumo wowote uko kwenye kanzi data. Mazungumzo yangu ya Lumbert yalijikita katika kuchanganua kwa kina umuhimu w
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Neema Rajabu, Neema ni mhadhili msaidizi yaani assistant lecturer na mbobezi kwenye eneo la Software Engineering. Nilitamani kupata hamasa kutoka kwake kuhusu Python Programming Language. Kuna nini
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Clemence Mutalemwa, Clemence ameunda mfumo wa OCApp, ni mfumo unaowawezesha wanafunzi wa vyuo mbalimbali kufanya clearance baada ya kumaliza masomo yao. Nijadiliana nae kimsingi namna ambayo wazo la
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features