Hey, Mambo vipi,
Leo tutazungumza kuhusu usalama wa taarifa za kibenki katika kufanya manunuzi online. Technolojia inabadilika kila leo, vilevile maarifa ya kulaghai watumia wa mitandao yazidi kuto tabirika.
Mbinu mpya za udukuzi zinaibuka hivyo ni muhimu kutunza vizuri taarifa zako na kuwa makini na watu unaofanya nao biashara kwenye mtandao.
Hii ni Yesaya Software Podcast episode namba 33.
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More