Upendo Masenga
Maisha ya kumpendeza Kristo katika ulimwengu huu ulioharibika hasa kwa singles waliookoka si kitu rahisi. Welcome to Uplevel With Upendo, mahali ambapo tunaanzisha mazungumzo ya kujengana, kuwezeshana kimaarifa, kutiana moyo, kuzungumza changamoto za Christian singles, kutambua wewe ni nani, mahusiano yanayompendeza Mungu, kuliishi kusudi la maisha yako na kutumia vyema kipindi cha singleness.
Unaweza kunipata kupitia mitandao ya kijamii ifuatayo:Instagram: @thisisupendomasengaFacebook: Upendo MasengaYouTube: Uplevel With UpendoWhatsapp : +255 628 704 781
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More