#MitandaoNaSisi ni kampeni ya kuchagiza matumizi chanya ya mitandao ya jamii na majukwaa ya kidijitali. Tunahamasisha matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya kidijitali pamoja na uhamasishaji kwa umma kuhusu uraia wa kidijitali. Tamthiliya fupi ya #CocoNaDenge inalenga kutoa elimu ya #MitandaoSalama na Uraia wa Kidijitali kama namna pia ya kuongeza ushiriki wa wanawake mtandaoni.
Show More
Creators & Guests
We don't know anything about the creators of this podcast yet. You can so they can be credited for this and other podcasts.