Usalama Radio Watch-season2 episode 3 - Community Crime Prevention Program--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/foxton-media/message
Tunakianza kipindi chetu cha TANO na cha mwisho pale ambapo Patel anaingia kwenye private ward nakumuona mkewe Rifar Khatondi, Karibu tusikize yanayotokea.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/foxton-media/mes
Tunakianza kipindi chetu cha NNE pale tulipomalizia kipindi cha TATU, Chengo anafika kwenye gari ilipowekwa parking na Patel anaongea kwa simu kutoka kwa nani? Au simu ya nini? Karibu tusikize yanayotokea.--- Send in a voice message: https:
Tunakianza kipindi chetu cha tatu pale tulipomalizia kipindi cha pili, wamefika hospitali Tindo na Shafiq. Karibu tusikize yanayotokea...--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/foxton-media/message
Tunakianza kipindi chetu cha Pili, ikiwa mchana na familia ya konstabo Kadilo imefika hospitali kumtazama baba wa Tindo, Karembo na Lena na mzazi mwenzake Bi Kadilo aliye mahututi baada ya shambulizi la mahala alipokuwa anafanya kazi katika ben
Licha ya kupewa kashfa na kudharauliwa na wananchi kila siku, maaskari wetu wa vikosi vyote kuanzia askari polisi, askari wa trafiki, askari jela na majeshi yote anga, maji na nchi kavu na hata askari wa vitengo vya kibinafsi visivyokuwa vya ki